Jumatano, 9 Julai 2014

NAMNA YA KUTENGENEZA BATIKI NA SHANGA ZA UREMBO KWENYE NGUO NA MKUFU WA SHINGONI


Nikizungumzia batiki sio neno geni kwa mtu yeyote yule ila namna inavyotengenezwa  wengi wetu  hatujui.

Mara nyingi  hii aina ya nguo ikitengeneza gauni au shati ndipo utakapojua kwamba ni vazi ambalo linapendeza sana kutokana na mpangilio wa rangi mbali mbali zikiwemo zimeshehena katika kitambaa.

Mwana mitindo wetu Bilhuda leo anaonyesha jinsi anavyoandaa vazi hilo kwa mikono yake mwenyewe.


                       Namna ya kutayarisha tsheti na kuchanganya na batiki pamoja na shanga                                                        





                                                    Aina mbali mbali za vitambaa vya batiki


                             Mkufu wa shingo ulotengeneza kwa mikono kwa kuchanganya rangi

Maoni 1 :

  1. Casino Roll - Login, Signup, & Deposit $10 & Win Real
    No Deposit Casinos · Slots LV.lv · 아프리카 영정 1 Ignition Casino · Bally's · Ignition Casino · Bally's 슬롯 머신 사이트 · Bally's 여수 op 사이트 New Jersey 탱글 다희 성인 방송 · William Hill 슬롯사이트 · FanDuel

    JibuFuta