Jumatano, 9 Julai 2014
MAPAMBO YA SHINGO NA MIGUUNI YALIYO TENGENEZWA KWA SHANGA
Katika fani hii ya fashion na design ni lazima kuwe na pambo la ziada kama shanga ambalo limekaa kitamaduni yani asili hii hufanya muhusika anayevaa kuwa na muonekano wakupendeza.
Hii ni shanga yakuvaa mkononi ya juu ni rangi nyekundu na chini ni nyeusi
Shanga za mikononi na miguuni zikiwa zimetengenezwa na lastiki maalum
Kiatu kilicho tengenezwa kwa mkono kwa kutumia nakshi za kuwaka
Hizo hapo juu ni aina mbali mbali za mikufu za kuvalia nguo tofauti
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni