Jumatano, 27 Agosti 2014
MWANA MITINDO BILHUDA AKIONYESHA KAZI ZAKE WAKATI HUU AKIWA MASOMONI
Mwana mitindo Bilhuda akiwa katika shughuli zake za kazi za mikono akiweka marembo na huku akiwa anaendelea na masomo.
Mwana mitindo Bilhuda akiweka manjonjo kwenye
t-shet akiwa nyumbani
Mwana mitindo Waa akiwa kwenye vazi lililotengenezwa
kwa salfeti na vitatambaa aina mbalimbali na shanga.
Waa akiwa amesimama akiwa katika vazi hilo likiwa
na shanga pamoja na hereni zake ameva na ua la kichwa.
Mwana mitindo Bils akiwa kwenye maonyesho ya chuo.
Mwana mitindo akiwa mafunzoni chuoni na mwenzake.
Mwana mitindo akiwa katika zoezi la kukata nguo
Jumatano, 9 Julai 2014
MAPAMBO YA SHINGO NA MIGUUNI YALIYO TENGENEZWA KWA SHANGA
Katika fani hii ya fashion na design ni lazima kuwe na pambo la ziada kama shanga ambalo limekaa kitamaduni yani asili hii hufanya muhusika anayevaa kuwa na muonekano wakupendeza.
Hii ni shanga yakuvaa mkononi ya juu ni rangi nyekundu na chini ni nyeusi
Shanga za mikononi na miguuni zikiwa zimetengenezwa na lastiki maalum
Kiatu kilicho tengenezwa kwa mkono kwa kutumia nakshi za kuwaka
Hizo hapo juu ni aina mbali mbali za mikufu za kuvalia nguo tofauti
NAMNA YA KUTENGENEZA BATIKI NA SHANGA ZA UREMBO KWENYE NGUO NA MKUFU WA SHINGONI
Nikizungumzia batiki sio neno geni kwa mtu yeyote yule ila namna inavyotengenezwa wengi wetu hatujui.
Mara nyingi hii aina ya nguo ikitengeneza gauni au shati ndipo utakapojua kwamba ni vazi ambalo linapendeza sana kutokana na mpangilio wa rangi mbali mbali zikiwemo zimeshehena katika kitambaa.
Mwana mitindo wetu Bilhuda leo anaonyesha jinsi anavyoandaa vazi hilo kwa mikono yake mwenyewe.
Namna ya kutayarisha tsheti na kuchanganya na batiki pamoja na shanga
Aina mbali mbali za vitambaa vya batiki
Mkufu wa shingo ulotengeneza kwa mikono kwa kuchanganya rangi
Jumanne, 8 Julai 2014
MWANAMITINDO BILHUDA AKIWA KWENYE MAFUNZO YAKE YA TEXTILE FASHION AND DESIGN CHUO CHA VETA DAR ES SALAAM
Mwanamitindo mtarajiwa Bilhuda akiwa kwenye masomo yake katika chuo cha Veta cha Dar es salaam.
Mwana mitindo na designer Bilhuda akiwa darasani katika michoro
Wanamitindo wakiwa katika pozi ya pamoja wakiwa wamevalia mavazi ya batiki
Bilhuda akiwa na mwalimu wa mambo ya utengenezaji tai dai kutoka Korea
Mwana mitindo Bilhuda akiwa katika pozi
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)